MWANAFUNZI WA MALANGALI AINGIA KUMI BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

#SisiTumeona SISI WATANZANIA TUNAWEZA

Hivi sasa watoto wetu wanapata elimu bure bila malipo!
———————————
Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka. Matokeo haya ni muhimu zaidi kwa Taifa letu sababu kadhaa.

Ad

Kwanza;
Haya ni matokeo ya kidato cha Nne cha kwanza kutoka baada ya Serikali kupitisha uamuzi wa wanafunzi wa elimu ya Msingi na elimu ya sekondari kusoma bure
Na hakika haya yamekuwa Matokeo ChanyA+ kwa uamuzi huu muhimu.

Katika wanafunzi kumi waliofaulu vizuri zaidi ya wanafunzi wote kwa kidato cha Nne nchini (Wavulana) lipo jina la Yohana Assa mwanafunzi katika shule ya Sekondari Malangali Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa aliyepata daraja la 1.7.

Yeye ni Mwanafunzi bora wa Tano nchini kati ya wanafunzi bora 10 wa kuimarika na ni zao za ELIMU BURE!

hakika #SisiNiTanzaniaMpyA+ ya Wazalendo, Waaminifu, Waadilifu, Wacha Mungu, Wachapa Kazi

1d0902a9-6bb1-4ff1-9386-b1ee9f57ae73

Ad

Unaweza kuangalia pia

BARAZA LA MITIHANI (NECTA) LATANGAZA MATOKEO YA KITADO CHA NNE NA KIDATO CHA PILI MWAKA 2019

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kidato cha pili …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *