Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ashiriki hafla ya Kukabidhi nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Ukonga Jijini Dar es salaam.
Novemba 29, 2016 Rais Maguli aliagiza kutolewa kwa shilingi Bilioni 10 kwa ajili ya kutatua tatizo la makazi la Gereza hilo baada ya askari hao kuomba wasaidiwe