Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MJI WA SERIKALI MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu

KATIBU MKUU TIXON AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI UJENZI WA MAJENGO YA OFISI ZA WIZARA AWAMU YA PILI ENEO LA MTUMBA

3-01
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha kujadili mpango kabambe wa ujenzi wa majengo ya ofisi za serikali kwa Awamu ya Pili wakifuatilia hoja za kikao hicho.
4-01
Wajumbe wa kikao cha kujadili mpango wa ujenzi wa Majengo ya Ofisi za Wizara kwa Awamu ya Pili katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma wakifuatilia hoja za Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda wakati wa kikao hicho.
2 -01
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga akichangia jambo wakati wa kikao kazi cha wadau wa ujenzi walipokutana Januari 27, 2020 kujadili mpango wa Ujenzi wa Ofisi za Wizara Awamu ya Pili katika eneo la Mji wa Serikali Mtumba Dodoma.
Matokeo ChanyA+
Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.
http://matokeochanya.co.tz

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.