MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI ZUNGU

1-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu wakati Mhe. Zungu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 28,2020 kwa ajili ya kujitambulisha na kupokea maelekezo mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa Majukumu yake.
2-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu wakati Mhe. Zungu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 28,2020 kwa ajili ya kujitambulisha na kupokea maelekezo mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa Majukumu yake. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
3-01

Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *