MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI

1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Sikudhani Chikambo, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2-01
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Rombo, Joseph Selasini, bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AKIWA NA WABUNGE MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.