RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU
Matokeo ChanyA+
February 3, 2020
IKULU , MAWASILIANO IKULU , Taarifa Vyombo vya Habari , Tanzania MpyA+
1,463 Imeonekana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Kiongozi akimuapisha akimuapisha Bi. Shamira S. Sarwat kuwa Msajili wa Mahakama Kuu katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Febuari, 2020 amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni ikiwemo Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Mkuu, Makatibu Tawala wa mikoa, Kamishina Jenerali wa Magereza na Kamishna Jenerali wa zimamoto na uokoaji, Kamishina wa ardhi Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Msajili wa Mahakama ya Rufani, Msajili wa Mahakama Kuu na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Mahakama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Zena A. Said kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Riziki S. Shemdoe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Christopher Kadio kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Mary G. Makondo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Judica H. Omari kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Tanga katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Stephen Mashauri kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Ruvuma katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Judica H. Omari kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Tanga katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Leonard R. Masanja kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Wilbert M. Chuma kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Kelvin Mhina kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Nathaniel M. Nhonge kuwa Kamishna wa Ardhi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Kamishna wa Tume ya Mahakama ya Utumishi wa Mahakama katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Wakili Julius K. Bundala kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Wakili Genoveva M. Kato kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Brigedia jenerali Suleiman M. Mzee kuwa Kamishna jenerali wa Magereza katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpandisha cheo DCP John Masunga kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha DCP John Masunga kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali baada ya kuwaapisha katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali mpya wa Jeshia la Magereza Suleiman M. Mzee na Maafisa waandamizi wa jeshi hilo baada ya kumuapisha katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga na Maafisa waandamizi wa jeshi hilo baada ya kumuapisha katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Ad
priligy 30 mg People interested in their combined use with chemotherapy should consult a doctor