Rais Dkt. John Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa katika kipindi cha miaka 4 iliyopita na ameahidi kuwa Serikali itaendelea kuhakikisha Mahakama inaboreshwa zaidi. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo tarehe 06 Februari, 2020 katika sherehe za kilele cha Wiki ya Elimu na Siku ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: February 6, 2020
TRA – WAFANYABIASHARA MSIJIHUSISHE NA BIASHARA ZA MAGENDO
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara na wachuuzi wanaoishi jirani na fukwe za Bahari ya Hindi kutojihusisha na biashara za magengo kwani kufanya hivyo ni kuisababishia nchi kukosa mapato yake stahiki kutokana na wahusika wa biashara hizo kukwepa kulipa kodi. Akizungumza na wafanyabiashara hao katika fukwe za bahari za …
Soma zaidi »ZANZIBAR NA ANGOLA KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA UTALII
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uwamuzi wa busara na wenye tija wa Angola wa kutaka kushirikiana na Zanzibar kwenye sekta ya utalii hatua ambayo itaimarisha uhusiano wa kihistoria uliopo. Dk. Shein aliyasema hayo leo, Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo na …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA (LAW DAY ) – JNICC DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 06 Febuari, 2020 anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dsm.
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AMTEUA BALOZI WILBERT IBUGE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi (Kanali) Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Uteuzi wa Balozi Ibuge unaanza leo tarehe 06 Februari, 2020. Kabla ya uteuzi huo Balozi Ibuge alikuwa Mkuu …
Soma zaidi »