Soma zaidi »
Maktaba ya Kila Siku: February 7, 2020
MRADI WA BOMBA LA MAFUTA AFRIKA MASHARIKI SALAMA KWA MAZINGIRA – WAZIRI ZUNGU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu hii leo ameshuhudia makabidhiano ya Cheti cha tathmini ya athari kwa mazingira kwa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la afrika mashariki ikiwa ni hitimisho la ripoti ya Tathmini ya mazingira kwa Mradi wa …
Soma zaidi »MAFINGA WAKABIDHIWA RASMI MAJENGO YALIYOPO KATA YA CHANGARAWE ILI KUYATUMIA KUWA KITUO CHA AFYA
Mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi amesema kuwa wameakabidhiwa rasmi majengo yaliyopo katika Kata ya Changarawe, ambayo yalikuwa yakitumiwa na Mkandarasi wa barabara ya Mafinga – Igawa ili yatumike Kama Kituo cha Afya. Mbunge huyo alitoa maombi ya kukabidhiwa majengo hayo kwa Rais Dkt. John Magufuli wakati akitokea katika …
Soma zaidi »MOI YALETA MITAMBO YA KISASA YA UPASUAJI UBONGO BILA KUFUNGUA FUVU
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kwa dhati kuboresha Sekta ya Afya nchini na tayari imeleta mitambo ya kisasa ya Maabara ya upasuaji wa Ubongo bila kufungua fuvu (Angio Suite). Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Taasisi …
Soma zaidi »SERIKALI MKOANI SHINYANGA YAKUSANYA BILIOINI 1.5 KAMA KODI YA MRABAHA NA ADA YA UKAGUZI KUTOKA KWA WACHIMBAJI
Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Joseph kumburu amesema kuwa utaratibu mzuri uliowekwa kwenye usimamizi wa uzalishaji na biashara ya madini kwa wachimbaji wasio rasmi mkoani Shinyanga umepelekea Serikali kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 1.56 kama kodi ya mrabaha na ada ya ukaguzi kuanzia mwezi Mei, 2019 hadi …
Soma zaidi »