Baadhi ya Mawaziri wakisaini   ripoti ya mkutano huo wa saba wa   Baraza la kisekta la Mawaziri wa Mazingira na Maliasili  wa Jumuia ya Afrika Mashariki. Mawaziri hao ni  Waziri wa Mazingira wa Rwanda Mhe.  Jeanne d’Arc Mujawamariya , Mhe.  Waziri wa Mazingira Kilimo na Mifugo Burundi, Mhe. Dkt. Deo Guide Rurema,  Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania Mhe. Hamisi Kigwangala  na Waziri wa Maji na mazingira wa Uganda Mhe. Sam Cheptoris.

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

A1-01
Waziri wa  Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiongea Jambo na Mawaziri wengine waliohudhuria Mkutano wa saba wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Mazingira na Maliasili wa Jumuia ya Afrika Mashariki uliofanyika Dodoma. Mawaziri wengine ni Waziri wa Maliasili na Utalii- Mhe. Hamis Kigwangala, Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya nje na Usirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Damas Ndumbaro na  Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde.
A2-01
Waziri wa  Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu pamoja na Mawaziri wengine waliohudhuria Mkutano wa saba wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Mazingira na Maliasili wa Jumuia ya Afrika Mashariki uliofanyika Dodoma wakiimba wimbo maalum wa Jumuia ya Afrika Mashariki.
A3-01
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano huo wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Mazingira na Maliasili wa Jumuia ya Afrika Mashariki uliofanyika Dodoma wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokua ikitolewa wakati wa Mkutano huo.

 

 

 

 

 

 

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE DKT. NDUMBARO AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI TANO HAPA NCHINI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *