Maktaba ya Kila Siku: February 12, 2020

ATCL YAANDAA SAFARI MAALUM KWA WAFANYABIASHARA

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limeandaa safari kwa wafanyabiashara wazawa itakayofanyika Machi 4, 2020 kwenda Mumbai India kwaajili ya kukuza biashara baina ya nchi Tanzania na nchi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano wa ATCL, Josephat Kagwirwa alisema kuwa …

Soma zaidi »

WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA HOSPITALI YA MKOA YA MAWENI

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekabidhiwa rasmi hospitali ya rufaa ya mkoa maweni iliyopo mkoani Kigoma. Akikabidhiwa hospitali hiyo Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula amesema kuwa anashukuru sekretarieti ya mkoa kwa kuisimamia hospitali hiyo pamoja na watumishi katika kipindi hicho na hivyo …

Soma zaidi »

WANANCHI WANA WAJIBU WA KUEJIEPUSHA NA VITENDO VYOTE VINAVYOKWENDA KINYUME NA SHERIA NA KANUNI ZILIZOWEKWA NA (ZEC) NA (NEC) – RAIS DKT SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuheshimu kazi, majukumu na maamuzi ya Tume za Uchaguzi nchini, kwa kuzingatia kuwa taasisi hizo zimeundwa kwa mujibu sheria na Katiba za nchi. Dk. Shein amesema hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul wakil Kikwajuni …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein  amewaapisha viongozi mbali mbali kushika nyadhifa baada ya kuwateuwa hivi karibuni. Katika hafla hiyo iliyofanyika Ikulu mjini Unguja na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Serikali, Dk. Shein amemuapisha Khatib Mwadini Khatibu kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara …

Soma zaidi »

SHIRIKA LA IFC LATAKIWA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA UCHAMBUZI WA MAZINGIRA YA SEKTA BINAFSI

Serikali ya Tanzania imeiomba Benki ya Dunia kupitia Shirika lake la Fedha (IFC), kufanya kazi ya uchambuzi wa kitaalamu wa mazingira ya Sekta Binafsi nchini kwa kushirikiana na Serikali ili kuweza kufanyia kazi kikamilifu taarifa za uchambuzi huo kwa manufaa ya Taifa. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha …

Soma zaidi »

WAZIRI UMMY AWATAKA WAZAZI KUWEKEZA KATIKA AFYA ZA WATOTO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wazazi kuwekeza kwa watoto katika kupata huduma bora za afya ili kuwawezesha kupata elimu bora itakayowasaidia watoto kutimiza malengo yao. Waziri Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akizindua akaunti za watoto na vijana …

Soma zaidi »