Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WFM, Dodoma Serikali imeeleza kuwa Sheria ya Kodi imetoa msamaha wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na wastaafu ambao mapato yao kwa mwaka hayazidi Shilingi milioni nne. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 13, 2020
UJENZI KIWANDA CHA KUCHAKATA DHAHABU WASHIKA KASI MKOANI MWANZA
Mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata madini ya dhahabu nchini umeshika kasi huku ujenzi wake ukitarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Septemba 2020 na kuifanya dhahabu ya Tanzania kusafirishwa ikiwa tayari imechakatwa na hivyo kuongeza thamani ya madini hayo katika soko la dunia.Ujenzi wa kiwanda hicho ulianza rasmi mwezi Machi, 2020 …
Soma zaidi »MSIMU HUU KWENYE ZAO LA KOROSHO UMEENDA VIZURI SANA – NAPE
Mbunge wa jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Nnauye amesema kuwa msimu huu kwenye zao la korosho umeenda vizuri baada ya Serikali kuviachia vyama vya Ushirika kususimamia. Amesema hayo Bungeni mjini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Kilimo, amesema kuwa namna bora ya kuimarisha Vyama vya Ushirika ni kuvisimamia …
Soma zaidi »TANESCO KUTUMIA BIL.1.2 KUBORESHA UMEME KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa serikali imetenga shilingi za kitanzania Bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme utakaokuwa ukitumiwa na kiwanda cha sukari peke yake, katika kuendesha shughuli za uzalishaji. Amesema hayao alipotembelea kiwanda cha Sukari Mtibwa, ambapo amesema kuwa njia hiyo ya …
Soma zaidi »UMEME WA SGR KUKAMILIKA MWISHONI MWA MEI, 2020
Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa nguzo kubwa za kusafirisha umeme utakaotumika katika reli ya kisasa(SGR) kuendesha treni ya umeme, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani alifanya ziara ya kukagua njia ya kusafirisha umeme Mei 11, 2020 mkoani Morogoro. Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa nguzo kubwa za …
Soma zaidi »