Maktaba ya Kila Siku: May 17, 2020

KIPAUMBELE CHA SERIKALI NI KUWALIPA WASTAAFU MAFAO YAO – WAZIRI MPANGO

Waziri wa fedha na mipango Dkt Philip Mpango Serikali imesema moja ya kipaumbele chake ni kuhakikisha wazee wanastaafu kwa amani kwa kuwalipa mafao yao kadri inavyostahili. Waziri wa fedha na mipango dkt Philip Mpango amesema hayo mei 15 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu mchango wa mbunge wa Singida Mashariki Miraji …

Soma zaidi »

IDADI YA WAGONJWA WA CORONA IMEPUNGUA NCHINI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020. Rais Dkt. John …

Soma zaidi »