Maktaba ya Kila Siku: May 19, 2020

WAZIRI MKUCHIKA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI

James K. Mwanamyoto – Chamwino DodomaSerikali imezindua Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Ndege za Serikali ambayo itakuwa na jukumu la kumshauri Waziri mwenye dhamana juu ya namna bora ya kuboresha wakala hiyo ili kuwa na mipango na mikakati endelevu itakayoleta tija katika usafiri wa anga. Akizindua bodi hiyo mapema …

Soma zaidi »

DKT. KALEMANI: LIPIENI TUJUE IDADI YA WATEJA TUSAMBAZE NGUZO TUWAWASHIE UMEME

Na Zuena Msuya Geita Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaambia wanakijiji ambao umeme ushafika katika maeneo yao walipie gharama za kuwashiwa umeme ili kufahamu idadi ya wateja, nguzo zisambazwe na kuunganishwa kulingana na wateja waliopo kwa wakati husika. Dkt. Kalemani alisema hayo wakati akiwasha umeme katika Kijiji cha Rusungwa …

Soma zaidi »

MILIONI 150 ZABORESHA MIUNDOMBINU CHUO CHA MICHEZO MALYA.

Na Shamimu Nyaki – WHUSM Serikali imetoa takriban Milioni 150 kukarabati miundombinu ya viwanja vya michezo pamoja na ujenzi wa kisima cha maji katika Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambacho ndio chuo pekee nchini kinachozalisha walimu wa sekta hiyo. Akizungumza katika mahojiano maalumu, Mkuu wa Chuo hicho Bw.Richard Mganga …

Soma zaidi »

WAZIRI BITEKO: MAKUSANYO SEKTA MADINI YAONGEZEKA KUTOKA BILIONI 39/- HADI BILIONI 58/- KWA MWEZI APRILI

Nuru Mwasampeta na Tito Mselem, Dodoma Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji wa Sekta ya Madini unakua kwa kasi na kuifanya kuwa sekta ya kwanza kwa ukuaji kwa mwaka 2019 ikifuatiwa na sekta ya ujenzi. Ukuaji wa Sekta ya Madini umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia …

Soma zaidi »