Maktaba ya Kila Siku: May 21, 2020

WATANZANIA WALIOKUWA WAMEKWAMA ABU DHABI WAREJEA NCHINI

Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) wamerejea Tanzania na kutoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na jitihada za kuwarejesha nyumbani. Watanzania 119 waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) baada ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona na kusababisha mashirika mbalimbali ya ndege kufunga safari …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA IKULU YA CHAMWINO

Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi John Simbachawene kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya.Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Phaustine Kasike kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 21 Mei 2020. Rais, Dkt. John Pombe Magufuli …

Soma zaidi »