Wadau na wafanyabiashara nchini wamesisitizwa kupata vibali vya vipimo vya mionzi vinavyotolewa na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) kwa njia ya mfumo wa kieletroni kila mara wanapoingiza na kusafirisha bidhaa ndani na nje ya nchi. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Idara ya Ufundi na Kinga ya Mionzi wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 22, 2020
MITIHADI YA KIDATO CHA SITA KUFANYIKA KUANZIA JUNI 29, 2020
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amezitaka shule zote zenye wanafunzi wa kidato cha sita kuanza maandalizi ya kupokea wanafunzi hao ili waanze masomo Juni 1 2020 kama ilivyoelekezwa. Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo Jijini Dodoma wakati alipoongea na waandishi wa habari ambapo amesema ni vizuri kwa …
Soma zaidi »TARURA YAENDELEA KUREJESHA MAWASILIANO
Ujenzi wa Kalavati Mstatili (Box culvert), katika barabara ya Bashay- Endaguday- Hydom (inayoelekea Yaedachin wanapopatikana Wahadzabe), ukiwa unaendelea baada ya mawasiliano kukatika kutokana na mvua. Erick Mwanakulya na Geofrey Kazaula – TARURA Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), umeendelea kurejesha mawasiliano katika maeneo mbalimballi yaliyoathiriwa na mvua nchini …
Soma zaidi »SERIKALI KUWEKEZA SEKTA YA ANGA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellla Manyanya (kulia) akimsikiliza Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye katika kiwanja cha ndege cha Mwanza, mara ya uzinduzi wa safari ya kwanza ya ndege Shirika la Ndege la Ethiopia, ambalo limeanza rasmi jana kuanza kubeba mizigo ya samaki kutokea …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AMTAKA RAS WA MKOA WA PWANI KUANZA NA MIRADI AMBAYO HAIJAKAMILIKA
Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo amemtaka Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere kuanza utendaji kazi wake kwa kufanyia kazi miradi ya mabweni, mabwalo na vituo …
Soma zaidi »MUDA WA KUKAMILISHA MIRADI HAUJABADILIKA – WAZIRI KALEMANI
Veronica Simba na Zuena Msuya – Dodoma Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, awamu ya tatu, mzunguko wa kwanza na kujadiliana maendeleo ya mradi huo unaotekelezwa nchini kote. Kikao hicho kilichofanyika, Mei 21, 2020 jijini Dodoma kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa …
Soma zaidi »BODI YA UTALII TANZANIA: TUPO TAYARI KUANZA KUPOKEA WATALII
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema ipo tayari kuanza kupokea watalii wakati wowote kuanzia sasa kufuatia hatua ya Serikali kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini hatua iliyotokana na kupungua kwa kasi ya mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (CORONA) duniani. Hayo yamesemwa Jijini Dar es Saalam na …
Soma zaidi »