Maktaba ya Kila Siku: May 22, 2020

MITIHADI YA KIDATO CHA SITA KUFANYIKA KUANZIA JUNI 29, 2020

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amezitaka shule zote zenye wanafunzi wa kidato cha sita kuanza maandalizi ya kupokea wanafunzi hao ili waanze masomo Juni 1 2020 kama ilivyoelekezwa. Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo Jijini Dodoma wakati alipoongea na waandishi wa habari ambapo amesema ni vizuri kwa …

Soma zaidi »

TARURA YAENDELEA KUREJESHA MAWASILIANO

Ujenzi wa Kalavati Mstatili (Box culvert), katika barabara ya Bashay- Endaguday- Hydom (inayoelekea Yaedachin wanapopatikana Wahadzabe), ukiwa unaendelea baada ya mawasiliano kukatika kutokana na mvua. Erick Mwanakulya na Geofrey Kazaula – TARURA Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), umeendelea kurejesha mawasiliano katika maeneo mbalimballi yaliyoathiriwa na mvua nchini …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO AMTAKA RAS WA MKOA WA PWANI KUANZA NA MIRADI AMBAYO HAIJAKAMILIKA

Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo amemtaka Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere kuanza utendaji kazi wake kwa kufanyia kazi  miradi ya mabweni, mabwalo na vituo …

Soma zaidi »

MUDA WA KUKAMILISHA MIRADI HAUJABADILIKA – WAZIRI KALEMANI

Veronica Simba na Zuena Msuya – Dodoma Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, awamu ya tatu, mzunguko wa kwanza na kujadiliana maendeleo ya mradi huo unaotekelezwa nchini kote. Kikao hicho kilichofanyika, Mei 21, 2020 jijini Dodoma kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa …

Soma zaidi »

BODI YA UTALII TANZANIA: TUPO TAYARI KUANZA KUPOKEA WATALII

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema ipo tayari kuanza kupokea watalii wakati wowote kuanzia sasa kufuatia hatua ya Serikali kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini hatua iliyotokana na kupungua kwa kasi ya mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (CORONA) duniani. Hayo yamesemwa Jijini Dar es Saalam na …

Soma zaidi »