MKANDARASI WA UJENZI WA STAND MPYA YA MABASI YA MBEZI LUIS ATAKIWA KUKABIDHI MRADI KWA MUDA ULIOPANGWA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya Mikoani na nje ya nchi ya Mbezi Louis ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia 70%, kuhakikisha Ujenzi huo unakamilika na kukabidhiwa kwa wakati.

RC Makonda amesema ujenzi wa Stand hiyo unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 50.9 na itakuwa na uwezo wa kuegesha Mabasi Makubwa 700 na Magari Madogo yasiyopungua 300 ambapo ndani yake kutakuwa na Jengo la abiria, Jengo la utawala, Shopping mall’s, Hotel, Hostel, kituo cha polisi, matawi ya bank, Migahawa na eneo la wafanyabiashara wa chakula.

Aidha RC Makonda ameelekeza Manispaa ya Ubungo kuhakikisha ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Ubungo unaanza kabla ya Mwezi June na Mkandarasi kuhakikisha ujenzi unakamilika kabla ya Mwezi September mwaka huu kwakuwa tayari Rais Dkt. Magufuli aliagiza kujengwa kwa Hospital hiyo lakini cha kushangaza baadhi ya wizara zimekuwa zikipiga danadana kutoa fedha hizo.

Pamoja na hayo RC Makonda ametembelea Ujenzi wa Jengo la Manispaa ya Ubungo linalogharimu kiasi cha bilioni 6 ambalo ujenzi wake umefikia 65% na kuwataka TBA kuhakikisha Jengo linaanza kutoa huduma kabla ya mwezi August mwaka huu kwakuwa wamekuwa wakisuasua licha ya kuongezewa muda. Chanzo MichuziBlog

Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) katika eneo la Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza

62 Maoni

  1. Daniel Alves https://paris-saint-germain.danielalves.net is a name that symbolizes the greatness of the world of football.

  2. Victor Osimhen https://napoli.victorosimhen-ar.com born on December 29, 1998 in Lagos, Nigeria, has grown from an initially humble player to one of the brightest strikers in modern football.

  3. Pedro Gonzalez Lopez https://barcelona.pedri-ar.com known as Pedri, was born on November 25, 2002 in the small town of Tegeste, located on Tenerife, one of the Canary Islands.

  4. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  5. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  6. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  7. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/hongqi-hs5 в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  8. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  9. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  10. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  11. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  12. priligy online Single time point concentrations at steady state and after administration of one or two OCs gave highly to moderately correlated estimates of steady state LNG AUC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *