Tanzania inaagiza asilimia 60 ya mafuta ya kupikia kutoka nje ya nchi kutokana na uhaba wa uzalishaji katika viwanda vilivyopo nchini.Kufuatia hali hiyo Serikali ya Awamu ya Tano ilianza kutekeleza mkakati wa makusudi kwa kufufua zao la mchikichi katika Mkoa wa Kigoma ili kuwezesha uzalishaji wa mafuta na kuziba pengo …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 28, 2020
MPANGAJI ANAYELIPA KODI YA ZUIO ANAPASWA KUREJESHEWA NA MWENYE NYUMBA
Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma Serikali imesema kuwa Sheria ya Kodi ya Mapato inaruhusu mpangaji wa nyumba ya biashara kusajiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania na kuwa Wakala wa ukusanyaji wa Kodi ya Zuio (Withholding Tax) hivyo kuwa sehemu ya mlipaji wa kodi ya pango. Hayo yameelezwa …
Soma zaidi »NIDHAMU YA MATUMIZI YA FEDHA YAONGEZEKA KWENYE HALMASHAURI NCHINI
Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amesema uwepo wa nidhamu ya matumizi ya fedha kwenye Mamlaka za serikali za mitaa umechangia asilimia 95 ya Halmashauri kupata hati inayoridhisha kwenye ukaguzi. Chikota ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC), alitoa kauli hiyo jana …
Soma zaidi »UFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA EURO MILIONI 70 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) Bi. Stephanie Mouen Essombe, wakibadilishana hati za Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70 (Sh. za Tanzania bilioni 175.6) kwa ajili ya kugharamia mradi wa Maji …
Soma zaidi »