Maktaba ya Kila Siku: May 29, 2020

RAIS MAGUFULI AKAGUA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma Rais Dkt. …

Soma zaidi »

WAZIRI KAIRUKI -CHANGAMKIENI FURSA ZA UWEKEZAJI WA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri (Uwekezaji), Angellah Kairuki akipataa maelezo kuhusu kifaa cha kupima kiwango cha vitamin ‘A’ katika alizeti kutoka kwa Afisa Viwango, Upendo Mganda wakati wa ziara yake ya kikazi alipotembelea na kukagua kiwanda kinachozalisha mafuta ya kula ya alizeti cha SUNSHINE chenye kuzalisha mafuta aina ya …

Soma zaidi »

PROF. KABUDI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MABALOZI WA UFARANSA, UTURUKI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Pamalagamba Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mhe. Frederic Clavier ambapo pamoja na mambo mengine, Balozi Clavier ameipongeza Tanzania kwa hatua ilizochukua kupambana na janga a virusi vya corona nchini.Balozi Clavier pia amemhakikishia Mhe. Waziri …

Soma zaidi »

WAZIRI NDALICHAKO AZITAKA SHULE KUACHA KUAGIZA FEDHA ZA ZIADA KUTOKA KWA WAZAZI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amezitaka  Shule kuacha kutumia ugonjwa wa Covid-19 kama kitega uchumi kwa kuagiza fedha za ziada kutoka kwa wazazi; na kuwa Serikali  itachukua hatua kwa shule zinazofanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuzifutia usajili. Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo jijini Dodoma alipozungumza na …

Soma zaidi »