Maktaba ya Mwezi: May 2020

WAZIRI UMMY: TUTANDELEA KUTOA AJIRA KWA WAUGUZI NCHINI

Serikali imesema itaendelea kutoa kipaumbele katika ajira za wauguzi kadri nafasi zitakavyokuwa zikipatikana ili kuboresha huduma za afya nchini. Kauli hiyo imetolewa leo  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizungumza na watumishi wa hospitali ya rufaa ya mkoa ya Mwananyamala katika Maadhimisho …

Soma zaidi »

WAZIRI HASUNGA AAGIZA NFRA KUNUNUA CHAKULA MSIMU HUU NA KUKIHIFADHI KWENYE VIHENGE VIPYA VYA MJINI BABATI

Sehemu ya vihenge vya kisasa ambavyo vimejengwa katika eneo la Maisaka mkoani Manyara ulianza rasmi Mwezi Disemba, 2018 Mradi unatekelezwa kutokana na fedha za mkopo nafuu kutoka Serikali ya Poland ambapo Kampuni ya ARAJ Realizacje kutoka nchini Poland ilishinda  kandarasi hiyo ikishirikiana na Mkandarasi wa ndani Kampuni ya ELERAI Construction …

Soma zaidi »