TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21 WAWASILISHWA BUNGENI

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kulia), akifurahia jambo wakati Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma, kushoto ni Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kulia) akizungumza jambo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dkt. Edwin Mhede, baada ya  kuwasilishwa bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kulia) akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Mashimba Ndaki, baada ya Waziri huyo kuwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma.
Mhasibu Mkuu wa Serikali, Bw. Francis Mwakapalila (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Fedha na Mipango, baada ya kuwasilishwa bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, (kushoto) akiwa na Wakuu wa Taasisi na Idara wa Wizara hiyo, wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *