WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAWAKILISHI WA WANANCHI KUJADILI UANZISHWAJI WA PORI LA AKIBA NA WMA YA ZIWA NATRON

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta  akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) leo jijini Arusha kabla ya kuanza kwa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha
Baadhi ya washiriki wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *