WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAWAKILISHI WA WANANCHI KUJADILI UANZISHWAJI WA PORI LA AKIBA NA WMA YA ZIWA NATRON Matokeo ChanyA+ June 26, 2020 MKOA WA ARUSHA, WIZARA MALIASILI, WIZARA YA MALIASILI NA UTALII Acha maoni 672 Imeonekana Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) leo jijini Arusha kabla ya kuanza kwa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha Baadhi ya washiriki wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest