Maktaba ya Kila Siku: July 2, 2020

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANZANIA KUINGIA KWENYE KUNDI LA NCHI ZA KIPATO CHA KATI

Serikali ya Tanzania chini ya uongozi mahiri wa Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, imeandika historia baada Benki ya Dunia kuitangaza rasmi kuwa nchi yenye uchumi wa kipato cha kati kuanzia tarehe 1 Julai 2020. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, imeeleza …

Soma zaidi »

WATANZANIA JITOKEZENI KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA UTALII

Na. Aron Msigwa – WMU. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa wito kwa watanzania wajitokeze kuwekeza katika biashara ya Utalii kwa kuwa masharti ya kuwekeza katika biashara hiyo yamerahisishwa tangu Serikali ya Awamu ya tano ilipoingia madarakani. Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati …

Soma zaidi »

MAWASILIANO YAREJESHWA MTO RAU

Na. Bebi Kapenya, Kilimanjaro. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), umeendelea kurejesha mawasiliano katika maeneo mbalimbali nchini yaliyoathiriwa na mvua zilizosababisha athari kubwa kwa watumiaji wa barabara pamoja na madaraja. Wakala umejenga daraja la muda la Chuma la Mto Rau Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada …

Soma zaidi »

DOKTA MPANGO AMTAKA MKANDARASI HOSPITALI YA WILAYA YA BUHIGWE, KIGOMA KUZINGATIA UBORA

Na. Josephine Majula na Peter Haule, WFM, Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Kigoma kumsimamia ipasavyo mkandarasi anayejenga Hospitali ya Wilaya ya Buhigwe mkoani humo, baada ya kutoridhishwa na ubora wa majengo ikilinganishwa na kiasi cha shilingi bilioni 2.4 zilizotumika mpaka …

Soma zaidi »