Maktaba ya Kila Siku: July 3, 2020

WAZIRI MKUU MAJALIWA: SERIKALI IMEFUTA TOZO 163 KUWAONDOLEA USUMBUFU WAFANYABIASHARA

Na Mwandishi Wetu,MAELEZO-DAR ES SALAAMWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Serikali kupitia mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara nchini (Blue Print) imeweza kufuta tozo 163 kati ya 173 zilizokuwa zikisababisha kero na usumbufu kwa wafanyabiashara nchini.Akizungumza katika ufunguzi wa Maonyesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DIFT) …

Soma zaidi »

VIJIJI VINAVYOCHIPUKIA KUWA MIJI KUTANGAZWA MAENEO YA MIPANGO MIJI

Na Munir Shemweta, WANMM KIGOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Mipango Miji nchini kuzisaidia wilaya kuhakikisha maeneo yote ya vijiji yanayochipukia kuwa miji anapelekewa ili ayatangaze kuwa maeneo ya Mipango Miji. Lukuvi alisema hayo jana wakati akizindua ofisi ya ardhi mkoa wa Kigoma …

Soma zaidi »