Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera muda mfupi baada ya kusimikwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi leo Julai 06,2020 kwenye Sherehe iliyofanyika katika Kambi ya Jeshi ya Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi.(Picha …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: July 6, 2020
RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha baada ya kumthibitisha Bw. James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020 Rais Dkt. John Magufuli amewaapisha Wakuu wa Mikoa 2, Kamishna …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA – LENGO NI KUENDELEA KUJENGA MIRADI YA KIMKAKATI KWA MAENDELEO YA WATU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipoweka jiwe la msingi la upanuzi wa bandari ya Kasanga wilayani Kalambo, Julai 5, 2020. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilino, Mhandisi Isack Kamwelwe na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AMUWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI MALAWI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kamuzu Nchini Malawi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MGALU ARIDHISHWA NA HATUA ILIYOFIKIWA KATIKA MRADI WA UMEME WA JNHPP
Hafsa Omar-Morogoro Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu, Julai 2,2020 amefanya ziara ya ukaguzi ya maendeleo ya ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua Umeme kwa Maji wa Julius Nyerere(JNHPP) unaotekelezwa kwenye mto Rufiji. Katika ziara yake hiyo, aliambatana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya pamoja na …
Soma zaidi »