Maktaba ya Kila Siku: July 6, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha baada ya kumthibitisha Bw. James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020 Rais Dkt. John Magufuli  amewaapisha Wakuu wa Mikoa 2, Kamishna …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA – LENGO NI KUENDELEA KUJENGA MIRADI YA KIMKAKATI KWA MAENDELEO YA WATU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipoweka jiwe la msingi la upanuzi wa bandari ya Kasanga wilayani Kalambo, Julai 5, 2020. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilino, Mhandisi Isack Kamwelwe na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MGALU ARIDHISHWA NA HATUA ILIYOFIKIWA KATIKA MRADI WA UMEME WA JNHPP

Hafsa Omar-Morogoro Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu, Julai 2,2020 amefanya ziara ya ukaguzi ya maendeleo ya ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua Umeme kwa Maji wa Julius Nyerere(JNHPP) unaotekelezwa kwenye mto Rufiji. Katika ziara yake hiyo, aliambatana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya pamoja na …

Soma zaidi »