Maktaba ya Kila Siku: July 18, 2020

WAZIRI MKUU: VIJANA, AKINAMAMA, NENDENI MKALIME

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani ili kujiongezea kipato. “Biashara ya bustani inalipa sana, yeyote anayetaka fedha, ataipata shambani. Nataka niwasisitize sana twende tukalime, twende shambani. Shamba siyo lazima ulime mahindi, mpunga pekee ama muhogo. Bustani …

Soma zaidi »

PROF. SHEMDOE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZALISHAJI WA SARUJI NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe akizungumza na wamiliki wa viwanda vinavyozalisha saruji (pichani) kuhusu changamoto za bei ya saruji katika maeneo mbalimbali nchini, mkutano huo ulifanyika katika Eneo huru la Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje ya Nchi (EPZA), Jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi …

Soma zaidi »