Maktaba ya Kila Siku: July 20, 2020

MAGEUZI YA MIFUMO NA UTENDAJI HESLB YAMEIMARISHA ELIMU YA JUU

Katika kuhakikisha taifa letu linajenga uchumi ulio imara na jamii inayoheshimu na kufuata misingi ya uwajibikaji na ubunifu, Serikali pamoja na mambo mengine imeendelea kuwekeza katika elimu ya juu. Serikali imeendelea kuhakikisha Watanzania wote wenye sifa wanapata elimu ya juu kwa kupewa mikopo kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA SH. BILIONI 20 KULIPA MADENI YA KOROSHO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa sh. bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho. “Rais Magufuli ametoa fedha hizi kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara na Kibiti kwa ajili ya waliokuwa wamelipwa nusu, waliolipwa kiasi na wasiolipwa kabisa. Fedha hizi zitaanza …

Soma zaidi »