Maktaba ya Kila Siku: July 23, 2020

NGOs ZAKUMBUSHWA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Na Mwandishi Wetu Iringa Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) imeyataka Mashirika hayo kuwasilisha taarifa za kila robo mwaka zinazoonesha fedha na kazi wanazozifanya kwa Msajili ili aweze kujua miradi inayotekelezwa kwenye maeneo yalipo Mashirika hayo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya msajili …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA MSAMAHA WA KODI KWA MRADI WA UMEME GEITA – NYAKANAZI

Kasi ya Utekelezaji Mradi Mkubwa wa Kusafirisha umeme katika msongo wa Kilovolti 220 wa Geita-Nyakanazi wenye urefu wa kilomita 144 na unaosimamiwa na TANESCO imezidi kuongezeka baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha kutoa msamaha rasmi wa kodi ambayo ni zaidi ya takriban bilioni 25.Meneja wa mradi kutoka …

Soma zaidi »