Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa kilichotokea jijini Dar es Salaam na ametoa pole kwa familia kwa niaba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Serikali. “Ndugu wanafamilia, kwa niaba ya Mheshimiwa Rais …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: July 2020
RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU 7 ZA MAOMBOLEZO YA KITAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa kuanzia leo Ijumaa tarehe 24 Julai, 2020 kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa kilichotokea Jijini Dar es Salaam. Katika kipindi chote cha maombolezo bendera …
Soma zaidi »NGOs ZAKUMBUSHWA UWAZI NA UWAJIBIKAJI
Na Mwandishi Wetu Iringa Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) imeyataka Mashirika hayo kuwasilisha taarifa za kila robo mwaka zinazoonesha fedha na kazi wanazozifanya kwa Msajili ili aweze kujua miradi inayotekelezwa kwenye maeneo yalipo Mashirika hayo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya msajili …
Soma zaidi »SERIKALI YATOA MSAMAHA WA KODI KWA MRADI WA UMEME GEITA – NYAKANAZI
Kasi ya Utekelezaji Mradi Mkubwa wa Kusafirisha umeme katika msongo wa Kilovolti 220 wa Geita-Nyakanazi wenye urefu wa kilomita 144 na unaosimamiwa na TANESCO imezidi kuongezeka baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha kutoa msamaha rasmi wa kodi ambayo ni zaidi ya takriban bilioni 25.Meneja wa mradi kutoka …
Soma zaidi »TUNADI SERA ZETU NA WANANCHI WAWEZE KUTUPIMA KUTOKANA NA SERA ZETU – RAIS MAGUFULI
“Tanzania tunatakiwa tuijenge, Tanzania ya Nyerere inatakiwa iende hivi na mimi niwaombe, niwaombe sana ndugu zangu wanasiasa wezangu kama ambavyo imekuwa kawaida yenu katika uchaguzi huu uwe uchaguzi maalum” “Tufanye kampeni zetu kwa upole, tufanye kampeni zetu kwa kumtanguliza Mungu, tufanye kampeni zetu kwa kujua sisi ni taifa la Tanzania, …
Soma zaidi »WIZARA YA KILIMO YAJIPANGA KUKUZA KILIMO CHA MBOGA MBOGA NCHINI
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (tarehe 20/07/2020 ) amesaini mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Kilimo na World Vegetable Center ili kuboresha utafiti na uendelezaji wa mazao ya mboga mboga ili kusaidia kuboresha lishe na kuongeza usalama wa chakula.Mkataba wa makubaliano umesainiwa Jijini kati ya Katibu Mkuu …
Soma zaidi »UJENZI WA VIVUKO BUGOROLA UKARA, CHATO NKOME KUKAMILIKA AGOSTI
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle wa pili kushoto akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala huo Prof. Idrissa Mshoro wa pili kulia wakati wakikagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vya Bugorola Ukara na Chato Nkome katika tukio lilofanyika katika yadi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: ULINZI WA NCHI NI KWA WATANZANIA WOTE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema suala la ulinzi wa nchi ni la Watanzania wote na siyo la kuwaachia vyombo kama Jeshi la Wananchi, Uhamiaji, Polisi au Magereza. Ametoa kauli hiyo (Jumapili, Julai 19, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa Matogoro, wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara. “Suala la ulinzi ni letu sote …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Marwa Mwita Bubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 Julai, 2020 …
Soma zaidi »MAGEUZI YA MIFUMO NA UTENDAJI HESLB YAMEIMARISHA ELIMU YA JUU
Katika kuhakikisha taifa letu linajenga uchumi ulio imara na jamii inayoheshimu na kufuata misingi ya uwajibikaji na ubunifu, Serikali pamoja na mambo mengine imeendelea kuwekeza katika elimu ya juu. Serikali imeendelea kuhakikisha Watanzania wote wenye sifa wanapata elimu ya juu kwa kupewa mikopo kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya …
Soma zaidi »