Maktaba ya Mwezi: July 2020

SERIKALI YATOA SH. BILIONI 20 KULIPA MADENI YA KOROSHO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa sh. bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho. “Rais Magufuli ametoa fedha hizi kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara na Kibiti kwa ajili ya waliokuwa wamelipwa nusu, waliolipwa kiasi na wasiolipwa kabisa. Fedha hizi zitaanza …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: VIJANA, AKINAMAMA, NENDENI MKALIME

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani ili kujiongezea kipato. “Biashara ya bustani inalipa sana, yeyote anayetaka fedha, ataipata shambani. Nataka niwasisitize sana twende tukalime, twende shambani. Shamba siyo lazima ulime mahindi, mpunga pekee ama muhogo. Bustani …

Soma zaidi »

PROF. SHEMDOE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZALISHAJI WA SARUJI NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe akizungumza na wamiliki wa viwanda vinavyozalisha saruji (pichani) kuhusu changamoto za bei ya saruji katika maeneo mbalimbali nchini, mkutano huo ulifanyika katika Eneo huru la Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje ya Nchi (EPZA), Jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi …

Soma zaidi »

KULINDA AFYA KWA KUZINGATIA MTINDO BORA WA MAISHA, ULAJI UNAOFAA, KUFANYA MAZOEZI – PROF. JANABI

Kulinda afya kwa kuzingatia mtindo bora wa maisha, ulaji unaofaa, kufanya mazoezi, kuchunguza afya mara kwa mara na kuepukana na mtindo usiofaa wa maisha, ni siri pekee itakayowawezesha Watanzania kufurahia ‘matunda’ Tanzania kuingia nchi zenye Uchumi wa Kati. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni  na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo …

Soma zaidi »