Na Tito Mselem Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, amefanya ziara ya kikazi katika Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu ( Refinery) cha Eyes Of Africa Ltd kilichopo katika eneo la Area D pembezoni mwa Uwanja wa Ndege wa Jiji la Dodoma. Ziara hiyo yenye lengo la kukagua hatua …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: July 2020
WAZIRI UMMY ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MTWARA
Na. WAJMW – Mtwara Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea ujenzi wa Hospitali mpya ya Rufaa ya Mikoa ya kusini iliyopo mkoani Mtwara na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali hiyo. Waziri Ummy ameonekana kuridhidhishwa na ujenzi wa Hospitali hiyo ambao …
Soma zaidi »DKT. ZAINABU CHAULA AAGIZA VITUO VYA MAWASILIANO ZANZIBAR KUJIENDESHA KWA FAIDA
Kituo cha TEHAMA cha Mkokotoni kilichopo Unguja, moja ya vituo sita vya TEHAMA vilivyokaguliwa naKatibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Zainabu Chaula kisiwani Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri nya …
Soma zaidi »MAKAMISHNA WA ARDHI WATAKIWA KUKUTANA NA TAASISI ZINAZODAIWA KODI YA PANGO LA ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM SUMBAWANGA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaagiza Makamishna Wasaidizi wa ardhi katika ofisi za mikoa kukaa na taasisi za serikali zinazodaiwa kodi ya pango la ardhi kuangalia namna bora ya kulipa madeni wanayodaiwa. Dkt Mabula alitoa agizo hilo jana …
Soma zaidi »TANESCO WAPEWA SIKU TANO KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WA KIDAHWE
Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kidahwe,kata ya Kidahwe Wilaya ya Kigoma vijiji, Mkoani Kigoma,wakati akiwa kwenye uzinduzi wa kuanza malipo kwa wananchi ambao wameridhia kutoa ardhi yao kwaajili ya ujenzi wa kituo cha Kupoza umeme cha Kidahwe. Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani ametoa siku …
Soma zaidi »