Maktaba ya Mwezi: August 2020

HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MARA (KWANGWA) IMEANZA KUTOA HUDUMA YA MAGONJWA YA NJE (OPD) NA KITENGO CHA MAMA NA MTOTO

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara (Kwangwa) iliyoasisiwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1977 imeanza kutoa huduma ya magonjwa ya nje (OPD) na kitengo cha Mama na mtoto. Hii inafuatia baada ya Waziri Ummy Mwalimu kufanya ziara katikati ya mwezi huu na kuitaka Hospitali hiyo …

Soma zaidi »

TIC NA SERIKALI YA MKOA WA LINDI WAANZISHA DAWATI LA UWEKEZAJI KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO

Serikali Mkoani Lindi kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC wameanzisha Dawati maalum la uwekezaji ambapo masuala yote yanayohusu uwekezaji sasa yanashughulikiwa  kupitia katika dawati hilo ambalo lengo lake ni kuwaweka karibu na kuwahudumia kwa upekee Wawekezaji wa Mkoa huo pamoja na kutangaza fursa zilizopo. Mkuu wa Wilaya ya Lindi …

Soma zaidi »

ALAT YAZITAKA HALMASHAURI KUHESHIMU FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ALAT) Elirehema Kaaya amezitaka halmashauri nchini kuhakikisha fedha zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo zinatumika kikamilifu ikiwa ni pamona na kubana mianya yote ya ubadhirifu inayoweza kujitokeza. Aliyasema hayo jijini Dar es …

Soma zaidi »

MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJI WA MOYO WAFANYA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KUTOKA KWENYE MSHIPA WA DAMU WA KIFUANI

Na Mwandishi   Maalum – Dar es Salaam Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo, mishipa ya damu na kifua wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa mara ya kwanza wamefanya upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kutoka kwenye mshipa wa damu wa kifuani na kupeleka kwenye mishipa ya damu ya …

Soma zaidi »

TANZANIA YAPOKEA SH. BILIONI 34 KUTOKA KUWAIT KUTEKELEZA MRADI WA UMWAGILIAJI LUICHE KIGOMA

Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wa Dinar milioni 4.5 sawa na Shilingi bilioni 33.9 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (KFED), kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Umwagiliaji katika Bonde la Mto Luiche mkoani Kigoma. Hayo yameelezwa jijini …

Soma zaidi »

TIC – MILANGO IPO WAZI KWA WAWEKEZAJI TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, Mtwara. Katika kuhakikisha azma ya Serikali ya kuendeleza na kukuza uchumi wa Viwanda, Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC kimesema ipo haja kwa Wawekezaji kukitumia kituo hicho katika kufanikisha shughuli zao ambazo ndio chachu ya ukuaji wa uchumi huo. Kituo hicho ambacho kinaratibu, kuhamasisha na kusimamia Uwekezaji nchini sasa …

Soma zaidi »

HALMASHAURI YA WILAYA BAHI YAFANIKIWA KUONGEZA MAPATO

Na Zynabu AbdulMasoud, Halmashauri ya wilaya ya Bahi imefanikiwa kuongeza kipato Cha Wananchi kutoka 420,000 hadi 980,000 na kuongeza mapato ya Halmashauri hadi kufikia sh Bilioni 1.6 kutokana na uwekezaji uliofanywa na serikali ya awamu ya tano kupitia miradi mbalimbali. Aidha uwekezaji kwenye sekta ya elimu katika halmashauri hiyo umesaidia …

Soma zaidi »

MKURUGENZI MTENDAJI WA BODI YA MIKOPO AKUTANA NA WATENDAJI WA NHIF

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello (kulia) wakati walipofika kujitambulisha …

Soma zaidi »