Jiwe la msingi la Kampuni ya Andoya liliwekwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kwa ajili ya kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Mtandazi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja,alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kuzalisha Umeme katika kampuni hiyo, …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 3, 2020
MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO JUMUISHI CHA UTOAJI HAKI CHA MAHAKAMA YA TANZANIA KINACHOJENGWA MJINI MOROGORO
Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Mahakama ya Tanzania kinachojengwa Mjini Morogoro. Jengo hilo litajumuisha Ngazi zote za Mahakama na Wadau wote wa shughuli za Kimahakama, Ujenzi wa Jengo hilo unatarajia kukamilika ifikapo mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu. Picha na Maelezo Tv
Soma zaidi »WAZIRI KAMWELWE ATENGUA NAFASI ZA MAMENEJA WA TANROADS MKOA WA PWANI NA LINDI
Lori la mizigo likipakia mawe katika eneo la Kilanjelanje mkoani Lindi tayari kwaajili ya kusafirishwa kuelekea jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ametengua nafasi ya Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Pwani na Lindi kutokana na kutoridhishwa na usimamizi na …
Soma zaidi »BALOZI WRIGHT – MAREKANI INAIONA TANZANIA NI NCHI IMARA, TULIVU NA YENYE DEMOKRASIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 02 Agosti, 2020 amepokea Hati za Utambulisho za Mabalozi 2 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa Tanzania. Balozi wa Marekani hapa nchini Donald John Wright akiwa amesimama wakati nyimbo za Mataifa mawili ya Tanzania na Marekani zilipokuwa zikipigwa na …
Soma zaidi »