MAKAMU WA RAIS SAMIA AHITIMISHA MAONESHO YA WAKIZIMKAZI MWAKA 2020

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya Mkoba wa Ukili unaotengenezwa kwa kutumia wa kindu na Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Unguja alipotembelea Mabanda ya maonesho ya Sherehe ya siku ya Wakizimkazi yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosti 13,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Bendera ya Muungano kutoka kwa Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja kwenye Maadhimisho ya siku ya Wakizimkazi yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosi 13,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meneja wa Banki ya NMB kanda ya Dar es salaam na Zanzibar Donatus Richard alipotembelea maonesho ya siku ya Wakizimkazi yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosi 13,2020. kulia Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahamoud .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi maalum kutoka kwa Viongozi wa Banki ya NBC kwenye maadhimisho ya siku ya Wakizimkazi inayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosi 13,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Kituo cha kulelea Watoto cha Assalam Community Forndation cha Kizimkazi Wilaya ya Kusini Mkoa wa kusini Unguja kinachoongozwa na Bibi Hatice Colak Mwenyeji wa Uturuki leo Agosti 13,2020 wakati alipotembelea Kituo hicho wakati wa Maadhimisho ya siku ya Wakizimkazi yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Wilaya ya Kusini Unguja alipowasili katika Kijiji cha Kizimkazi Wilaya ya kusini Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kuhudhuria kwenye Maadhimishi ya Siku ya Wakizimkazi yanayofanyika Kila Mwaka katika Kijiji hicho leo Agosti 13,2020.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Mitazamo ya Uongozi ya Mhe. Ummy Ally Mwalimu katika Sekta za Afya, Maendeleo ya Jamii, na Haki za Watoto

Ummy Ally Mwalimu ameonyesha mitazamo ya uongozi yenye mwelekeo wa kujali maendeleo na ustawi katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *