Maktaba ya Kila Siku: August 14, 2020

WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA KUANZA KUTAFUTA MASOKO

Muonekano wa baadhi ya Majengo ya Kiwanda hicho yaliyojegwa katika awamu ya kwanza (LOT 1) yakiwa yamekamilika. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza uongozi wa Kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kutafuta masoko ndani …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA HARIDHISHWI NA KASI YA UPIMAJI NYANG’HWALE

Na Munir Shemweta, WANMM NYANG’HWALE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameonesha kutoridhishwa na kasi ndogo ya upangaji na upimaji ardhi katika halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita. Akiwa katika ziara yake ya kikazi kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi kwenye halmashauri …

Soma zaidi »

UONGOZI WA WILAYA YA KIBITI UMETEKELEZA MAAGIZO YA RAIS YA KUJENGA CHOO KATIKA STENDI NDANI YA SIKU SABA

Uongozi wa Wilaya ya Kibiti umetekeleza maagizo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kujenga choo katika stendi ndani ya siku saba.Hayo yamebainika (Alhamisi, Agosti 13, 2020), mara baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kukagua ujenzi wa choo hicho, Rais Magufuli alitoa agizo la kukamilika ujenzi wa choo hicho tarehe …

Soma zaidi »