Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao kabla ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 17, 2020
KASI YA USAMBAZAJI UMEME KWENYE TAASISI ZA UMMA YAONGEZEKA
Hafsa Omar-Kagera Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amesema Serikali inataendelea kuzipa kipaumbele Taasisi za Umma nchini katika usambazaji wa umeme vijijini ili siweze kutoa huduma bora kwa Watanzania. Ameyasema hayo , Agosti 16,2020 kwa nyakati tofauti wakati akiwa kwenye ziara ya kazi ya ukaguzi wa kazi ya usambazaji umeme …
Soma zaidi »BILIONI 100 KUPELEKA UMEME PEMBEZONI MWA MIJI
Veronica Simba – Arusha Serikali imetenga shilingi bilioni 103.8 kwa ajili ya kupeleka umeme katika maeneo yaliyo pembezoni mwa majiji, mikoa, manispaa na miji, nchi nzima. Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, alibainisha hayo kwa nyakati tofauti, Agosti 16, 2020 alipokuwa katika ziara ya kazi wilayani Arusha. Akizungumza muda mfupi …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AWAPATIA HATI ZA ARDHI WALIMU ILEMELA
Na Munir Shemweta, WANMM ILEMELANaibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa hati 315 kwa walimu wa shule za Msingi na Sekondari katika Manispaa ya Ilemela ikiwa ni juhudi zake za kuhakikisha walimu wa maniapaa hiyo wanamilikishwa ardhi kwa gharama nafuuWalimu waliopatiwa Hati za viwanja …
Soma zaidi »MILLIONI 715 ZATUMIKA KUBORESHA OFISI, MAKAZI YA VIONGOZI TANGA
Shilingi milioni 715 zimetumika kukarabati Nyumba za Wakuu wa Wilaya za Lushoto na Korogwe, kujenga nyumba ya Katibu Tawala wa Wilaya ya Lushoto na Ofisi nane za tarafa katika Wilaya hizo.Ujenzi na Ukarabati wa nyumba na ofisi hizo ni sehemu ya utekelezaji wa azima Serikali ya Awamu ya Tano kuboresha …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ABADILISHA AHADI KUWA VITENDO NDANI YA MIAKA MITANO YA UONGOZI WAKE
Na,ZYNABU ABDULMASOUDI, DODOMA. Kuna usemi wa Kiswahili unaosema ahadi ni deni,ukimaanisha kuwa unapoweka ahadi huna budi kuitimiza. Ahadi iliyowekwa na Rais Dk.John Magufuli wakati wa kampeni zake za kugombea Urais miaka mitano iliyopita ikiwemo ya kutoa elimu bila ya malipo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza hadi kidato cha nne …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA SAMANI RUANGWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wawekezaji wachangamkie fursa zilizopo nchini kwa kuangalia maeneo mazuri ya kufanya uwekezaji mpya au kupanua uwekezaji wao. Ametoa rai hiyo (Jumapili, Agosti 16, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa Namichiga, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, waliohudhuria uwekaji wa jiwe la msingi kwenye kiwanda cha …
Soma zaidi »