Maktaba ya Kila Siku: August 17, 2020

KASI YA USAMBAZAJI UMEME KWENYE TAASISI ZA UMMA YAONGEZEKA

Hafsa Omar-Kagera Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amesema Serikali inataendelea  kuzipa kipaumbele  Taasisi za Umma nchini  katika usambazaji wa umeme vijijini ili siweze kutoa huduma bora kwa Watanzania. Ameyasema hayo , Agosti 16,2020 kwa nyakati tofauti  wakati akiwa kwenye ziara ya kazi ya ukaguzi wa kazi ya usambazaji umeme …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ABADILISHA AHADI KUWA VITENDO NDANI YA MIAKA MITANO YA UONGOZI WAKE

Na,ZYNABU ABDULMASOUDI, DODOMA. Kuna usemi wa Kiswahili unaosema ahadi ni deni,ukimaanisha kuwa unapoweka ahadi huna budi kuitimiza. Ahadi iliyowekwa na Rais Dk.John Magufuli wakati wa kampeni zake za kugombea Urais miaka mitano iliyopita ikiwemo ya kutoa elimu bila ya malipo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza hadi kidato cha nne …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA SAMANI RUANGWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wawekezaji wachangamkie fursa zilizopo nchini kwa kuangalia maeneo mazuri ya kufanya uwekezaji mpya au kupanua uwekezaji wao. Ametoa rai hiyo (Jumapili, Agosti 16, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa Namichiga, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, waliohudhuria uwekaji wa jiwe la msingi kwenye kiwanda cha …

Soma zaidi »