Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, wakirudi ukumbini baada ya mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 18, 2020
WATOA HUDUMA NDOGO YA FEDHA WATAKIWA KUJISAJILI NA KUKATA LESENI
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Dionesia Mjema akitoa maelezo ya awali katika mafunzo ya Sera, Sheria na Kanuni za Huduma Ndogo za Fedha kwa wadau wa Kanda ya Kati kutoka mikoa ya Iringa Dodoma na Singida, yaliyofanyika mjini …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI KANYASU AIAGIZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTOA KITALU CHA UWINDAJI WA KITALII KWA CHUO
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu ameamuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii kutoa kitalu cha Uwindaji wa Kitalii kwa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori, Mweka ili kitumike kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wanaosomea masomo ya Uwindaji Bingwa (Professional Hunters) Ametoa agizo hilo …
Soma zaidi »DC CHONGOLO AMTAKA MKANDARASI ANAYEJENGA SOKO LA TANDALE KUONGEZA KASI YA UJENZI HUO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amemtaka Mkandarasi wa Kampuni ya NAMIS CORPORATE L.T.D ambaye anajenga Soko hilo kuongeza kasi ya ujenzi huo ili Wafanyabiashara waweze kurudi kwenye eneo lao. Chongolo amesema hayo alipofanya ziara katika soko la Tandale na kuwakuta wafanyabiashara katika mazingira yasiyo rafiki hali inayopelekea usumbufu …
Soma zaidi »TANZANIA NI YA KWANZA AFRIKA KWA KUSAMBAZA UMEME HADI VIJIJINI – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80. “Leo hii Tanzania ni ya kwanza barani Afrika kwa kusambaza umeme kote nchini hadi vijijini na kufikisha asilimia 80. Kuna nchi ngapi barani Afrika, lakini Tanzania imefanikiwa kuwa ya …
Soma zaidi »