Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, wakirudi ukumbini baada ya
mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
ya CCM leo Jumanne Agosti 18, 2020 jijini DodomaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt.J.P.Magufuli akijiandaa kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndg
Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Naibu Katibu
Mkuu wa chama hicho (Visiwani) Dkt. Abdullah Juma Mabodi wakirudi
ukumbini baada ya mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Jumanne Agosti 18, 2020 jijini
DodomaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, wakirudi ukumbini baada ya
mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
ya CCM leo Jumanne Agosti 18, 2020 jijini Dodoma
PICHA NA IKULU