Maktaba ya Kila Siku: August 19, 2020

DC CHONGOLO ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA STANDI YA DALADALA MWENGE

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amesema kuwa ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Stendi ya kisasa ya Daladala ya Mwenge inayojengwa kwa kiasi cha Shilingili Bilioni tano fedha zinazotokana na makusanyo ya ndani ya Manispaa hiyo. Chongolo ametoa kauli hiyo leo wakati alipofanya ziara yake ikiwa ni muendelezo …

Soma zaidi »

SERIKALI YAUNDA TIMU MAALUM KUMSIMAMIA MKANDARASI WA REA KILIMANJARO

Veronica Simba – Kilimanjaro Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameunda Timu maalumu inayojumuisha wataalamu mbalimbali wa Serikali ili kumsimamia Mkandarasi anayetekeleza miradi ya umeme vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Alitangaza uamuzi huo katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kitongoji cha Kambi ya Nyuki, wilayani Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Agosti …

Soma zaidi »

KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM KINAENDELEA LEO, IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea Ikulu Chamwino Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: WATANZANIA TUBADILIKE, TUJIVUNIE VYETU

Akagua mradi wa kiwanda cha sukari na shamba la miwa Bagamoyo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wabadilike na wajifunze kujivunia kilicho chao. “Lazima tubadilike Watanzania, tuwe wazalendo, tukisemee kitu chetu, tujivunie kitu chetu na tujivunie ujuzi tulionao,” amesema. Ametoa wito huo (Jumanne Agosti 18, 2020) wakati akizungumza na viongozi …

Soma zaidi »

KUWENI WABUNIFU MUWEZE KUJIAJIRI – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wanaohitimu masomo nchini wasikae majumbani na badala yake watumie elimu yao kubuni namna ya kujiajiri. “Lazima tubadilike ili wahitimu wasisubiri kazi za masomo. Ukimaliza masomo, tumia ujuzi wako kuona unaweza vipi kujiajiri,” alisema. Ametoa wito huo jana jioni (Jumatatu, Agosti 17, 2020) wakati akizungumza …

Soma zaidi »

SERIKALI YA JIMBO LA HUNAN NCHINI CHINA IMENZISHA MTAA MAALUM WA KUUZA KAHAWA KUTOKA BARANI AFRIKA

Serikali ya Jimbo la Hunan nchini China imenzisha Mtaa Maalum wa kuuza kahawa kutoka Barani Afrika katika soko Kuu la Gaoquiao jijini Changsha. Hafla ya uzinduzi wa mtaa huo imefanyika na kuhudhuriwa na wawakilishi wa mataifa mawili yanayozalisha kahawa Tanzania na Ethiopia Katika hafla hiyo ya uzinduzi wa Mtaa wa …

Soma zaidi »