Na. Immaculate Makilika- MAELEZO Serikali imekusudia kuleta mapinduzi ya kiuchumi ili kuibadili Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Sekta ya elimu na mafunzo, kwa mujibu wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025 na Mpango wa muda mrefu wa Maendeleo ya Taifa 2011/12 hadi 2024/25, inatarajiwa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 21, 2020
MRADI WA PERI URBAN KUKAMILIKA KWA WAKATI
Hafsa Omar-Dodoma Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja amewataka wakandarasi wanaotekeleza mradi wa Umeme katika Vijiji vilivyo pembezoni mwa Mji (Peri-Urban) kukamilisha utekelezaji wa miradi yao ndani ya muda uliopangwa. Ameyasema hayo,Agosti 19,2020,wakati alipokuwa kwenye kikao na Wakandarasi wa mradi wa Per-Urban, kilichofanyika katika ofisi za Wizara …
Soma zaidi »UJENZI WA OFISI ZA PAPU KUGHARIMU SHILINGI BILIONI 33.7
Serikali yaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la ghorofa 17 za ofisi ya Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) unaoendelea kufanyika mkoani Arusha Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula ambapo jana alitembelea na kukagua maendeleo …
Soma zaidi »