Maktaba ya Kila Siku: August 21, 2020

MRADI WA PERI URBAN KUKAMILIKA KWA WAKATI

Hafsa Omar-Dodoma Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja amewataka wakandarasi wanaotekeleza mradi wa Umeme katika Vijiji vilivyo pembezoni mwa Mji (Peri-Urban) kukamilisha utekelezaji wa miradi yao ndani ya muda uliopangwa. Ameyasema hayo,Agosti 19,2020,wakati alipokuwa kwenye kikao na  Wakandarasi  wa mradi wa Per-Urban, kilichofanyika katika ofisi za Wizara …

Soma zaidi »

UJENZI WA OFISI ZA PAPU KUGHARIMU SHILINGI BILIONI 33.7

Serikali yaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la ghorofa 17 za ofisi ya Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) unaoendelea kufanyika mkoani Arusha Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula ambapo jana alitembelea na kukagua maendeleo …

Soma zaidi »