TIC YAFANIKISHA MPANGO WA KAMPUNI YA MISRI KUWEKEZA KIWANDA CHA VIFAA VYA UMEME TANZANIA

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam

Mwakilishi wa Kampuni ya kuzalisha vifaa vya umeme ya Elsewedy Electric ambaye ni Mkurugenzi Mkaazi wa Afrika Mashariki wa Kampuni hiyo injinia Ibrahim Qamar kutoka nchini Misri anayewekeza nchini Tanzania amesema kuimarika kwa Sera, Sheria na mazingira mazuri ya Uwekezaji Nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na amani na utulivu; ndio sababu kubwa zilizomfanya aje kuwekeza nchini. 

Ad


Bw. Qamar amesema miongoni mwa masuala ambayo wawekezaji wengi huyaangalia kwa makini kwenye nchi wanazotaka kuwekeza ni pamoja na Utawala bora, ulinzi wa mitaji yao pamoja na masoko ya uhakika mambo ambayo Tanzania imeyapa kipaumbele na hivyo kumfanya yeye na wawekezaji wengine kufikiria na kuamua kuwekeza Tanzania 
Bw. Qamar alitembelea ofisi za Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC mwishoni mwa juma lililopita na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho Dkt. Maduhu Kazi ambapo alimwambia kutokana na kazi nzuri wanayoifanya, ameamua kuwekeza katika miradi miwili mikubwa ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Kiwanda cha kutengeneza vifaa vya Umeme pamoja na Chuo cha mafunzo ya umeme, uwekezaji ambao unatarajia kufanyika kwa awamu mbili na baadae huenda atafanya uwekezaji katika viwanda vya kutengeneza vifaa na kujenga miundombinu ya kuzalisha umeme wa jua na upepo. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC Dkt. Maduhu Isaac Kazi (Kulia) akijadiliana jambo na Mwakilishi wa Kampuni ya Elsewedy ya Misri Injinia Ibrahim Qamar mapema Juzi katika Ofisi za TIC zilizopo Mtaa wa Shaban Robert Posta Jijini Sar Es Salaam, katikati ni Mkuu wa Idara ya Uwezeshaji kwa Wawekezaji Bw. Revocatus Arbogast Rasheli akifuatilia kwa makini mjadala huo.


Awamu ya kwanza ya uwekezaji huu ambao unapanga kuwekeza mtaji wa Dola za Marekani milioni kumi na tano (15) na kuzalisha ajira za moja kwa moja mia moja kumi na tano (115) unatarajia kuanza mara moja baada ya taratibu za ardhi kukamilika katika wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es salaam. Mwekezaji huyu pia aliishukuru TIC kwa jitihada za kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa ardhi kwa ajili ya uwekezaji huo ambao utakuwa na tija kubwa kwa Taifa na Jamii ya Tanzania.

“TIC mnafanya kazi kubwa ya kuhakikisha wawekezaji tunapata fursa ya kuwekeza hapa Tanzania, mmetusaidia sana kupata ardhi kule kigamboni ambayo tulikuwa tukiihitaji kwa muda mrefu na kulikuwa na ucheleweshaji katika hatua za kuipata, lakini niseme tu, baada ya TIC kuingilia kati suala hili, nimeona mafanikio makubwa sana na nawaahidi sitawaangusha katika uwekezaji huu mkubwa ambao najua utakuwa na manufaa kwa pande zote mbili.

Nakusudia kujenga kiwanda cha vifaa vya umeme vikiwepo Mita, Waya na Transifoma, pia tutafungua chuo cha masuala hayo nikutaarifu tu kuwa awamu ya kwanza tutaianza mara moja, pale taratibu za kupata ardhi zitakapokamilika ambapo naona tupo katika hatua za mwisho kabisa na mimi nimeshajipanga vizuri kabisa ili niweze kuanza” alisema Bw. Qamar. 


Pia alimshumshukuru Mkrugenzi Mtendaji wa TIC Dk. Maduhu Kazi kwa kutembelea ofisi za kampuni ya Elsewedy Electric Jijini Dar es Salaam muda kifupi baada ya kuteuliwa kuiongoza taasisi hiyo ya Uwekezaji nchini ambapo alipata fursa ya kujua mpango wa kampuni wa uwekezaji pamoja na changamoto zilizokuwa zinaukabili uwekezaji huo hivyo kukwamisha uwekezaji wa kampuni hiyo nchini ambapo katika ziara hiyo TIC ilimhakikishia mwekezaji Elsewedy kuwa TIC ingeshughulikia changamoto hizo kwa kasi sambamba na miradi mingine ambayo uwekezaji wake ulikwama kwa sababu za kiutendaji.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC Dkt Maduhu Kazi amesema Kituo hicho kinahudumia wawekezaji wote na kwamba endapo kuna changamoto zozote wanazokutana nazo wasisite kuziwasilisha katika ofisi za TIC zilizopo katika kanda na hata hapa makao Makuu.

Aidha Dkt. Kazi amesema jitihada alizozifanya Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli katika kuboresha mazingira ya Uwekezaji na Biashara yamesaidia wawekezaji wengi kuiamini Tanzania kama nchi salama kwa kuwekeza mitaji yao.

“Milango ya TIC ipo wazi wakati wote, tunawakaribisha sana na endapo mna changamoto zozote msisite kuja, hii ni kazi yetu” alisema Dkt Kazi. Aidha aliwataka wawekezaji wengine kuja kuwekeza nchini kutokana na kuimarika kwa Sera na sheria za Uwekezaji zilizofanywa na Serikali ya awamu ya tano hatua inayoleta manufaa makubwa kwenye sekta ya uwekezaji nchini na kuwezesha kufikiwa kwa azma ya Taifa ya kujenga uchumi wa viwanda kama ilivyobainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2025.

Aidha alibainisha kuwa katika kipindi cha miaka mitano kuanzia Oktoba 2015 hadi sasa Serikali imefuta kodi na tozo mbalimbali 168 ambazo zilikuwa kero kwa wawekezaji na pia katika kipindi hicho hakuna kodi yoyote mpya iliyoanzishwa na Serikali hatua inayoendelea kuipaisha Tanzania katika kuvutia Uwekezaji. 

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

37 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Pin Up official https://pin-up.adb-auto.ru website. Login to your personal account and register through the Pin Up mirror. Slot machines for real money at Pinup online casino.

  3. Официальный сайт Pin Up казино https://pin-up.nasledie-smolensk.ru предлагает широкий выбор игр и щедрые бонусы для игроков. Уникальные бонусные предложения, онлайн регистрация.

  4. Latest World of Warcraft (WOW) tournament news https://wow.com.az, strategies and game analysis. The most detailed gaming portal in Azerbaijani language

  5. Latest boxing news https://boks.com.az, Resul Abbasov’s achievements, Tyson Fury’s fights and much more. All in Ambassador Boxing.

  6. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.liverpool-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  7. Paul Pogba https://psg.paul-pogba-fr.com is a world-famous football player who plays as a central midfielder. The player’s career had its share of ups and downs, but he was always distinguished by his perseverance and desire to win.

  8. Изготовление, сборка и ремонт мебели https://shkafy-na-zakaz.blogspot.com для Вас, от эконом до премиум класса.

  9. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.real-madrid-ar.com Footballeur belge, gardien de but du Club espagnol “Real Madrid”. Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Trois fois vainqueur du Trophee Ricardo Zamora, decerne chaque annee au meilleur gardien espagnol

  10. Muhammad Ali https://muhammad-ali.com.az American professional boxer who competed in the heavy weight category; one of the most famous boxers in the history of world boxing.

  11. Latest news and information about the NBA https://basketball-kz.kz in Kazakhstan. Hot stories, player transfers and highlights. Watch the NBA world with us.

  12. The latest top football news https://football-kz.kz today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts, photos and videos.

  13. Discover the dynamic world of Arab sports https://sports-ar.com through the lens of Arab sports news. Your premier source for breaking news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of everything happening in sports.

  14. The inspiring story of how talented Kevin De Bruyne https://manchestercity.kevin-de-bruyne-cz.com became the best player of Manchester City and the Belgium national team. From humble origins to the leader of a top club.

  15. Find out how Virgil van Dijk https://liverpool.virgil-van-dijk-cz.com became an integral part of style игры «Liverpool», ensuring the stability and success of the team.

  16. The young Uruguayan Darwin Nunez https://liverpool.darwin-nunez-cz.com broke into the elite of world football, and he became a key Liverpool player.

  17. Tobey Maguire’s Ascent Study https://spider-man.tobey-maguire.cz to the superstar through his iconic image of Spider-Man in the cult trilogy.

  18. The inspiring story of Zendaya’s rise https://spider-man.zendaya-maree.cz, from her early roles to her blockbuster debut in Marvel Cinematic Universe.

  19. Activision and Call of Duty https://activision.call-of-duty.cz leading video game publisher and iconic shooter with a long history market dominance.

  20. The latest analysis, reviews of https://spider-man-ar.com tournaments and the most interesting things from the “Spider-Man” series of games in Azerbaijani language. It’s all here!

  21. Website dedicated to football player Paul Pogba https://pogba-uz.com. Latest news from the world of football.

  22. Coffeeroom https://coffeeroom.by – магазин кофе, чая, кофетехники, посуды, химии и аксессуаров в Минске для дома и офиса.

  23. Site with the latest news, statistics, photos of Pele https://edson-arantes-do-nascimento.com and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  24. If you are a fan of UFC https://ufc-hoje.com the most famous organization in the world, come visit us. The most important news and highlights from the UFC world await you on our website.

  25. The story of the Moroccan footballer https://al-hilal.yassine-bounou.com, who became a star at Al-Hilal, traces his journey from the streets of Casablanca to international football stardom and his personal development.

  26. Parisian PSG https://paris.psg-fr.com is one of the most successful and ambitious football clubs in Europe. Find out how he became a global football superstar.

  27. Tyson Fury https://wbc.tyson-fury-fr.com is the undefeated WBC world champion and reigns supreme in boxing’s heavyweight division.

  28. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  29. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  30. Selena Gomez https://calm-down.selenagomez-br.net the story from child star to global musical influence, summarized in hit “Calm Down”, with Rema.

  31. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  32. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristiano-ronaldo.ae is one of the greatest names in football history, with his achievements inspiring millions of fans around the world.

  33. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  34. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  35. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  36. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *