MKURUGENZI MTENDAJI WA BODI YA MIKOPO AKUTANA NA WATENDAJI WA NHIF Matokeo ChanyA+ August 27, 2020 WIZARA YA ELIMU Acha maoni 788 Imeonekana Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello (kulia) wakati walipofika kujitambulisha Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi (Agosti 27, 2020). Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (katikati) akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello wakati walipofika kujitambulisha Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi (Agosti 27, 2020). Wa kwanza kulia ni Rais wa Shirikisho la Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO), Peter Niboye na Afisa Mikopo wa HESLB, Jonathan Nkwabi. (PICHA NA BODI YA MIKOPO- HESLB) Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest