Ismail Ngayonga, Dar es salaam NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe leo (Jumatatu, Agosti 31, 2020) amefanya ziara ya kikazi katika ofisi za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jijini Dar es Salaam ili kukagua utendaji kazi na kuwataka watumishi …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 31, 2020
HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MARA (KWANGWA) IMEANZA KUTOA HUDUMA YA MAGONJWA YA NJE (OPD) NA KITENGO CHA MAMA NA MTOTO
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara (Kwangwa) iliyoasisiwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1977 imeanza kutoa huduma ya magonjwa ya nje (OPD) na kitengo cha Mama na mtoto. Hii inafuatia baada ya Waziri Ummy Mwalimu kufanya ziara katikati ya mwezi huu na kuitaka Hospitali hiyo …
Soma zaidi »TIC NA SERIKALI YA MKOA WA LINDI WAANZISHA DAWATI LA UWEKEZAJI KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO
Serikali Mkoani Lindi kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC wameanzisha Dawati maalum la uwekezaji ambapo masuala yote yanayohusu uwekezaji sasa yanashughulikiwa kupitia katika dawati hilo ambalo lengo lake ni kuwaweka karibu na kuwahudumia kwa upekee Wawekezaji wa Mkoa huo pamoja na kutangaza fursa zilizopo. Mkuu wa Wilaya ya Lindi …
Soma zaidi »ALAT YAZITAKA HALMASHAURI KUHESHIMU FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ALAT) Elirehema Kaaya amezitaka halmashauri nchini kuhakikisha fedha zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo zinatumika kikamilifu ikiwa ni pamona na kubana mianya yote ya ubadhirifu inayoweza kujitokeza. Aliyasema hayo jijini Dar es …
Soma zaidi »MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJI WA MOYO WAFANYA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KUTOKA KWENYE MSHIPA WA DAMU WA KIFUANI
Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo, mishipa ya damu na kifua wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa mara ya kwanza wamefanya upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kutoka kwenye mshipa wa damu wa kifuani na kupeleka kwenye mishipa ya damu ya …
Soma zaidi »TANZANIA YAPOKEA SH. BILIONI 34 KUTOKA KUWAIT KUTEKELEZA MRADI WA UMWAGILIAJI LUICHE KIGOMA
Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wa Dinar milioni 4.5 sawa na Shilingi bilioni 33.9 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (KFED), kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Umwagiliaji katika Bonde la Mto Luiche mkoani Kigoma. Hayo yameelezwa jijini …
Soma zaidi »TIC – MILANGO IPO WAZI KWA WAWEKEZAJI TANZANIA
Na Mwandishi Wetu, Mtwara. Katika kuhakikisha azma ya Serikali ya kuendeleza na kukuza uchumi wa Viwanda, Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC kimesema ipo haja kwa Wawekezaji kukitumia kituo hicho katika kufanikisha shughuli zao ambazo ndio chachu ya ukuaji wa uchumi huo. Kituo hicho ambacho kinaratibu, kuhamasisha na kusimamia Uwekezaji nchini sasa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AKUTANA NA MAKAMISHNA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora kwa kazi nzuri inayofanywa na Tume hiyo kwa kuweza kutatuwa Changamoto mbalimbali za Wananchi na kuweza kupata Haki zao pale wanapozulumiwa. Makamu wa Rais amesema hayo leo alipokutana …
Soma zaidi »