Maktaba ya Kila Siku: September 21, 2020

TANZANIA IMETAJWA KAMA NCHI YA KIELELEZO CHA AMANI NA DEMOKRASIA KATIKA BARA LA AFRIKA

Norway yaitaja Tanzania kama kielelezo cha amani na demokrasia katika chaguzi Barani Afrika kutokana na mchakato wa kampeni za uchaguzi mkuu unavyofanyika kwa amani,utulivu na usawa kwa wagombea wa vyama vyote huku wananchi wakijitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea. Balozi wa Norway nchini Tanzania Balozi Elisabeth Jacobsen ameyasema hayo …

Soma zaidi »

WATU 18 WAKUTWA NA SHINIKIZO LA DAMU, ZAIDI YA ASILIMIA 50 WANA UZITO ULIOPITILIZA, JUKWAA LA ONE STOP JAWABU – MBAGALA

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zenais Ngowi akitoa maelekezo ya jinsi ya kujaza fomu ya uelewa wa magonjwa ya moyo kwa mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo katika viwanja vya Mbagala Zakheem wilayani Temeke kupitia jukwaa la One Stop Jawabu ambapo Taasisi hiyo ilitoa bila malipo …

Soma zaidi »

VIHENGE VYA NFRA KUWAHAKIKISHIA SOKO LA MAHINDI WAKULIMA MKOANI RUKWA

Ujenzi wa wa Vihenge vya kisasa Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Omary Mgumba amewahakikishai wakulima wa zao la mahindi mkoani Rukwa kuwa mradi wa ujenzi wa Vihenge vya kisasa vya kuhifadhia mazao hayo utakapokamilika utatatua tatizo la soko kwa wakulima ambao kwa msimu wa 2019/2020 wamekuwa wakipata tabu kutokana na …

Soma zaidi »