Maktaba ya Kila Siku: September 25, 2020

MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WAUNGANISHA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya kushuhudia utiaji saini wa mkataba wa makubaliano wa kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na visiwa vya Unguja na Pemba wakiwa kwenye ukumbi wa Wizara ya …

Soma zaidi »

KITUO CHA AFYA BWISYA CHAPANDISHWA HADHI KUWA HOSPITALI YA WILAYA – MAJALIWA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amepandisha hadhi ya kituo cha afya cha Bwisya kilichoko Ukara wilayani Ukerewe, Mwanza kiwe na hadhi ya hospitali ya wilaya kuanzia leo. Hayo yamesemwa na mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa wakati akizungumza na wakazi …

Soma zaidi »

DOTO JAMES: MIRADI YA KIMKAKATI INAYOTEKELEZWA NCHINI NI KWA MUJIBU WA SHERIA

Na. Farida Ramadhani na Ivona Tumsime, WFM, Dodoma Serikali imesema kuwa miradi yote mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa nchini imeshapangwa ndani ya bajeti za kisekta za Wizara husika ambazo hupitishwa na Bunge kila mwaka. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James wakati wa ufunguzi …

Soma zaidi »