Maktaba ya Kila Siku: September 28, 2020

DKT. KALEMANI AZINDUA REA KITONGOJI KWA KITONGOJI

Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani akizungumza na wananchi Kitongoji cha Migombani,kijiji cha Bukene, Wilaya ya Nzega, Mkoani wa Tabora(hayapo pichani), wakati wa uzinduzi wa mradi wa umeme kwa kila kitongoji nchini uliofanyika, Septemba 24,2020,mkaoni humo. Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amezindua rasmi usambazaji wa Umeme katika kila kitongoji nchini ambapo …

Soma zaidi »

DKT. KALEMANI APIGA MARUFUKU MKANDARASI KUPEWA KAZI ZA REA ZAIDI YA MKOA MMOJA

Na Zuena Msuya na Hafsa Omari, Tabora Waziri wa  Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kuanzia sasa  ni marufuku kwa wakandarasi watakaotekeleza miradi Ya usambazaji wa umeme vijijini( REA), kupewa kazi katika mikoa miwili na badala yake sasa watapewa kwa kila wilaya bila kujali idadi ya vijiji vilivyopo. Dkt. Kalemani alisema …

Soma zaidi »

KONGAMANO LA NNE LA TEHAMA KUFANYIKA OKTOBA 7 HADI 9

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Samson Mwela akizungumza katika Mkutano wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (katikati) na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9 katika Ukumbi wa Mikutano wa …

Soma zaidi »